Pasaka Kenya 09: Let There Be Forgiveness
Kibera Drive Times | 10.04.2009 03:45 | Education | Health | History
We are not to look to the past - racial bitterness, the denial of fundamental rights, the suppression of our culture... Let there be forgiveness," Jomo Kenyatta
Kiswahili
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani
English
O God of all creation
Bless this our land and nation
Justice be our shield and defender
May we dwell in unity
Peace and liberty
Plenty be found within our borders.
Let one and all arise
With hearts both strong and true
Service be our earnest endeavour
And our homeland of Kenya
Heritage of splendour
Firm may we stand to defend.
Let all with one accord
In common bond united
Build this our nation together
And the glory of Kenya
The fruit of our labour
Fill every heart with thanksgiving.
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani
English
O God of all creation
Bless this our land and nation
Justice be our shield and defender
May we dwell in unity
Peace and liberty
Plenty be found within our borders.
Let one and all arise
With hearts both strong and true
Service be our earnest endeavour
And our homeland of Kenya
Heritage of splendour
Firm may we stand to defend.
Let all with one accord
In common bond united
Build this our nation together
And the glory of Kenya
The fruit of our labour
Fill every heart with thanksgiving.
Kibera Drive Times